Friday, April 13, 2012

RIP Kanumba The Great


Mengi yameongelewa, mengi yamesemwa ila kutoka moyoni mwangu nimehuzunishwa sana na kifo cha msanii na kijana mwenzetu Stephen Charles kanumba (1984-2012).

Mungu amjaalie kupumzika kwa amani.. Amen

No comments:

Post a Comment