Mengi yameongelewa, mengi yamesemwa ila kutoka moyoni mwangu nimehuzunishwa sana na kifo cha msanii na kijana mwenzetu Stephen Charles kanumba (1984-2012).
huu uzungu wa kuvaa hivi Linah kaupata wapi? am personally disappointed na alivyovaa. Linah pliz take note na ubadilike haya mavazi ya hivi dont suit you.